Furaha yngu nimuonapo ana smile



Wendawazimu walipanda basi la ghorofa wengine juu na wengine chini.
Wakati basi linatembea
waliopanda chini wanawauliza wa juu, huko speed ngapi? maana huku speed 80.wajuu wakajibu huku mpaka sasa hatujui mana hata dreva bado hajaja!

Msichana mmoja alimpeleka mchumba wake kwao kumtambulisha kwa wazazi wake.

Alipofika tu baba yake akagundua dosari maana mvulana alikuwa mweusi tii ana matege makali na makengeza ya maana!!

Jamaa alipo ona sura ya baba mkwe wake imebadilika ikabidi atabasamu kiasi.
Lahaula! Alikuwa na mapengo hana meno yote ya mbele!

Baba akaamua amuite binti yake:

Baba:”Mwanangu hebu twende nje tuongee.”

Binti:”Baba sema hapahapa tu mchumba wangu ni kiziwi.”
.
.
Baba mtu akazimia!!

tafadhali shiriki utani wako na sisi katika lugha ya swahili


Mungu yu mwema kwangu sijui kwako


Unaniita na nambari binafsi na nitazamia mimi
kuzungumza kwanza?
Nadhani tutaweza kupumzika mpaka utakapoendelea


Unapoondoka duka bila kununua chochote na unajiambia
“tenda kawaida, huna hatia”