maisha ni safari ndefu yana panda na kushuka binaadamu tuwe makini



Hii Nairobi kama hujaact setbooks
Haujajaribu online jobs za global alliance (kwanza hii)😂
Haujaenda mjengo😌
Haujafanya promotion ya nodules ama simu😩😫

Halafu kuna ile walk ya kiadvatise pizza na kuku 😅😂
My friend hakuna kitu utaniambia kuhusu kuhustle😂

Unataka nizae mtoto afanane na ww baba ake kwan mm nna kifuko cha uzazi ama mashine ya photocopy 😜😜

Madem wa siku izi wamekuwa kaa karao.mnakutana tao then next week uko ndani🤣😂🤣if you know you know


DNA test ya durha…Buti wamehe xava byala
U n’wa u langutisa nwana kahle


Unaringa unadhani nitakuwaza……unashtukia nishakusahau


Wale mnaopima UKIMWI kila baada ya miezi mitatu waga mnataka nini????