Hii upuzi ya unauliza dame 😂
hasubui kama ame amka anakuambia oliskia wapi kwanini why🥴



Nmeona niende kwa mama mkwe nikaulize juu
nimeona mtoto wake amekua sio mtamu tena sa hii…


Mko kwenye sensa mara wakala anauliza mama una g’ombe hapa na mama anaanza kukuangalia wewe

Kama nilikuudhi mwaka huu , kumbuka mwakani ni palepale sikufugi😂😂


Kuna dem aliniita home kwake akasema anataka nyama kwa nyama. Nikamwambia cna doo labda ugali kwa mayai. Bado ajatext back ni kama akona alargy ya mayai. Ebu nipe advice