Back in high school, I was very poor in maths during exams nilikua napata Kati ya 4% na 10%๐Ÿ™ˆ. The results used to be announced from the lowest maarks to the highest marks,, so nilikua wa kwanza ama wa pili kuitwa๐Ÿ˜‘ alafu napokea viboko kadhaa ๐Ÿ˜.
So one day the maths results were announced and my name wasn’t among the first to be called ๐Ÿคœ๐Ÿค›…so mwalimu anaendelea 30%, 40%, 50%, 60%, 70% bado jina langu halikuitwa, kila mtu kwa class akaniangalia๐Ÿ‘€,, wanauliza “umepitaje huu mtihani?”๐Ÿ˜,nikasmile nikasema ” Ni mungu tu” by the time alifika 80% I was already grinning in excitement. Wakati alifika 90% alikuwa amebaki na paper moja tu ๐Ÿ˜๐Ÿ™Œ,, saa mungu amejibu maombi na ndoto yangu ya kupita maths imetimia๐Ÿ™,, class mzima walishangaa na kuniangalia ๐Ÿ‘€,, finally mwalimu akaangalia juu na kusema.

“One idiot did not write his name and he scored 0%”. l just fainted ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚


Related Posts

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *