Fuck maze, ile time umejipata maudenki zimekukaza then kufika kwa choo unapata kuna ninja ili kunia juu bt kulingana navile umekazwa inabidi uingine,,, then ukiwa ndani kimsee kinakam afu kinaamua kungoja utoke… Coz hauwezi taka aone hio shonde asikushuku ww unamua kutumia gazeti yako kupanguza hio shonde we unabaki hivyo
Related Posts
Katika maisha yako kuna kupuliza iwake na kupuliza ipoe… Lkn wengi wetu wanapokuwa wakipuliza ipoe wanajikuta wameiwasha…. Post Views: 1
Wale mnaopima UKIMWI kila baada ya miezi mitatu waga mnataka nini???? Post Views: 1
Pain ya go nyesa ke mjolo kwa yeno o na le gate ya maotwana Post Views: 19
If my mother is not happy with Me being in her house,she must Move out,I’m in my mothers house, She Continue Reading..
Akuna kitu tamu kama kupendwa na wazazi wako Post Views: 0
Hakuna kitu mbaya kama x wako kuku pata una tembea na Slipper’s moja ime katika umebeba mkononi Post Views: 3
Kopo la chooni ni la chooni tu,hata liwe jipya haliekwi kabatini. Post Views: 4
nimekumbuka mitochondrion nikasahau pin ya mpesaπ²π€£ππππ€π Post Views: 7