Imagine umelala afternoon bcoz the previous night ulikuwa kesha. mara unasika knock kwa mlango, ukienda kufungua unagongwa kidole ya mwisho ya mguu na kitanda, kuturn kidogo unaangukia ndoo za maji yanamwangika, unatereza kwa hayo maji unaangukia tv, na wire ya stima inakupinga shock kwa mgongo. unasimama na uchovu, maumivu, hasira na hasara. kufika kwa mlango kufungua unapatana na jamaa kwa mlango anasema, ” Habari yako? naregister lines za Orange!” utafanya? 😂😂
Related Posts
Kama huna pesa punguza kitambi we are tired of respecting wrong people Post Views: 0
Mtu mmoja amekimbia paka sikio lake ameguza chini Post Views: 0
Furaha yngu nimuonapo ana smile Post Views: 0
Mato niki refu kuliko mutura ya soko mjinga itabidi apuguzwe na rungu ya masaai Post Views: 1
Ukitaka ukwel ulizia kiundan zaidi love is poison true or false Post Views: 0
Uzuri wa kunyonga monkey unaweza adjust iwe tight ama mtaro!!😏 Vile unataka Post Views: 1
Ile time ume nyandua fame na ngori ya kidogii afu utabike after a few minutes unaskiaga fame aki shuta na Continue Reading..
Tangu nianze kula miraa 2017 hadi wa leo sijawahi lala,, inasemekana uwa nakula kama nmelala. Post Views: 0