Nampenda bwana yesu Sikh zote za maisha yangu kwani yeye ndiye mwenye kunipendeza na hakuna mwingine zaidi yake katika maisha yangu. Ahsante yesu kwa kunijalia afya njema ,kunikinga na na maradhi kuniepusha dhoruba za dunia hii na uzidi kuendelea kuniepusha tena na tena mpaka hapo utakapo niita baba yetu .ahsante baba kwa ridhiki unayonijalia kila siku, bariki mazao yangu ya shamba pia bariki biashara yangu iwe na Wateja wengi na I we endelevu,naomba ktk jina la yesu amina
Related Posts
Akuna kitu tamu kama kupendwa na wazazi wako Post Views: 0
This is a spirit click on doubts yeah targeted Heewaa ??? Post Views: 0
Ao Khape Blesser Ge A Fithla Gate’ng Ya Ko Geno A Re “Jbanh O Ngwana Wa Mbali? Post Views: 0
Corona ilifanya poa ku kam 2020. Ingekam kitu 2006.. Tungekaa tu indoors na nokia 1110..tukicheza game ya manyoka..hakuna selfles ata Continue Reading..
*Kuna cousin yangu amepata 50 out of 500. KCPE. Tunangojea alale tuhame.* Sa hii tuko maombi kwao. Huyu amaweka family Continue Reading..
Dame:Babe nko na ball Boyie:leta tucheze futa atleast tufanye maexercise Dame:si ivo😊nko nimebemba Boyie:Nini tena?… Umechoka nikusaidaie… Dame:Nkt😅acha kujifanya huelewi Continue Reading..
Furaha usoni, maumivu noyoni. Post Views: 0
Yanga yeti inapiga moja moja kama mgonjwa wa kisukali asanteni simba kwa kurejedha heshima ya wanaume Post Views: 5