Ati dem wako anaforce issue kaa msee wa curfewπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚



Unataka nizae mtoto afanane na ww baba ake kwan mm nna kifuko cha uzazi ama mashine ya photocopy 😜😜

Nilieka face unlock kwa simu alafu kujaribu na sura ya ngombe shags ikaitikia. EbunidoscribeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜


Kuna dem aliniita home kwake akasema anataka nyama kwa nyama. Nikamwambia cna doo labda ugali kwa mayai. Bado ajatext back ni kama akona alargy ya mayai. Ebu nipe advice

Mpende akupendae, asiye kupenda mlazimishe akikataa mroge


I hope my book of life ingeandikwa na kalamu ya mate kuna ka place nafaa kuvuta


Lakini sikumuacha kwa ubaya ata wewe unaeza date dem anaita njaa maunenge πŸ˜‚πŸ˜‚