……… ….. Maslay queen…..wanaoganga qweli juu hawapendi kugusa maji…..



To my future kids,Mimi Niko tayari kuwaleta duniani lakini baba yenu anangangania warembo uko inje ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Msinilaumu nikiwaambia tulivaa vikapu Kama ngombe mwaka mzima๐Ÿ˜ญ


Wale mlikuwa mnasema 2020 is your financial year ebu mkujie mwaka yenu na sitafadhali ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

Aki wallahi lazima 2021 time watu wacheck before tuingie sisi ,Ile dissapointment nimepata 2020 siwezi dhubutu kuingia nayo 2021๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜


Na hats uwe unapenda vipi
Kumenya viungo vya mboga
Lakini huwezi kumenya pilipili
au bamia”


Et ooo babe nkupenda pekeako ukome mi sijafundishwa ivo kwenye maish kumpenda mtu 1 sina tabia izo za jini๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Ati nyinyi ni wengi hadi mama anapiga chapo moja alafu zingine zinawekwa photocopy