Why fire kempinski staff for doing it we all do it, the riskier the place the better. They didnโ€™t tell cameras to watch..



Ata ukiskia hawa watoto wa shule wamewekwa mimba sijui ngapi ,hii kitu Kuna mahali inafikanga inakosa break

To our sisters leo want to ask you this question hivi…..

“what would you do if you start arguing with your man and he starts crying”

Sisi tuko hapa to see the comments and kuchangia where we have too๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚


Corona ilifanya poa ku kam 2020.
Ingekam kitu 2006..
Tungekaa tu indoors na nokia 1110..tukicheza game ya manyoka..hakuna selfles ata

To our sisters leo want to ask you this question hivi…..

“what would you do if you start arguing with your man and he starts crying”

Sisi tuko hapa to see the comments and kuchangia where we have too


Back in high school, I was very poor in maths during exams nilikua napata Kati ya 4% na 10%๐Ÿ™ˆ. The results used to be announced from the lowest maarks to the highest marks,, so nilikua wa kwanza ama wa pili kuitwa๐Ÿ˜‘ alafu napokea viboko kadhaa ๐Ÿ˜.
So one day the maths results were announced and my name wasn’t among the first to be called ๐Ÿคœ๐Ÿค›…so mwalimu anaendelea 30%, 40%, 50%, 60%, 70% bado jina langu halikuitwa, kila mtu kwa class akaniangalia๐Ÿ‘€,, wanauliza “umepitaje huu mtihani?”๐Ÿ˜,nikasmile nikasema ” Ni mungu tu” by the time alifika 80% I was already grinning in excitement. Wakati alifika 90% alikuwa amebaki na paper moja tu ๐Ÿ˜๐Ÿ™Œ,, saa mungu amejibu maombi na ndoto yangu ya kupita maths imetimia๐Ÿ™,, class mzima walishangaa na kuniangalia ๐Ÿ‘€,, finally mwalimu akaangalia juu na kusema.

“One idiot did not write his name and he scored 0%”. l just fainted ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚


Mnakumbuka lucky dube akiimba there will be no schools anymore only prison prison mkadhani ni bangi

Ukiona dem wako amekuja Kwako alaf sm yake kaweka flight mode

Ujue uyo mwanamke Anakupenda Sana ataki Usumbufu Anapokuwa Na wew

Ile day utaenda chemist ๐Ÿ’Škubuy Mara moja upate nni mzungu cjui utamwambia aje๐Ÿšฎ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ