Pesa kidogo tu ukiongea unasema I mean si useme tu unamaanisha tutakuelewa mabaharia



Huku afrika ukitaka breakfast in bed,pls kalale jikoni🙃🙃 by Carlos ochieng agunda

Unaringa unadhani nitakuwaza……unashtukia nishakusahau


Hakuna kitu mbaya kama x wako kuku pata una tembea na Slipper’s moja ime katika umebeba mkononi

Yanga yeti inapiga moja moja kama mgonjwa wa kisukali asanteni simba kwa kurejedha heshima ya wanaume


Munakumbuka lucky dube akiimba,there will be no schools anymore mukadhania ni banging


Opening of schools before bars shows government respects children more than the elderly🙉 wakati wa kura watafute hao watoto wawapigie🤪 hatupendi ujinga

Sio sigara tu hata ukiwa na mwanamke msumbufu ni hatari kwa afya yako