Ukitaka ukwel ulizia kiundan zaidi love is poison true
or false



Ma sister, imagine walking in heaven and all the kids you aborted be like:
“Jesu nangu lo”

LOVE IS LOVE MY FRIEND but Love is verry complicated in this world tunaweza kupendana kati yangu na mschana arakini ukakuta kama akunda mtu anafurahiya mapenzi yetu ndio mnaa kira mtu akuwe ana acha mngu ataware upendo wake na huyo mwana mke kwa ju bakijitawara nanaweza Angamia siyo kitu laisi bwana ni kwenda pole pole man.

Mungu ndie mgawa riziki ko usijisumbue kwenda kwa waganga kwaaajir ya kuziba riziki yangu unajisumbua nibora ukakaa ukatathimin kwamba mbona mwenzangu kafanikiwa ko njoooo nikupe siri ya mafanikio sio kwenda kwa waganga


Mungu wetu ni wa heri kwa wote asuh naiona nyepesi japo mfukoni nina shiling hamsin chanji iliyo baki ya vitumbua jana. Naish vp chana akil inaitijika

Kama ukijua kua MTU ni watu maana MTU peke hawezi akaishi kamwe


Karibuni nyumbani yasubuhi yote milele.Sasa nasoma the only disability in life is a bad attitude,Meskiya? Also true happiness lies,first of all in health.Sursunday


Msukuma wa ukwel asema: The collection of grasshoppers is in the morning / Isunga ng’humbi lilidilu/ ukusanyaji wa panzi ni asubuhi, maana yake aanza kusaka maisha mapema, usingoje baadaye.

Mbaullah anavituko sana anapenda kuwa mkweli hapendagi uwongo hivyo ndivyo vituko vyake