Kumbe Tumbo ndo inanyamba Matako ni Speaker tu πŸ˜‚πŸ˜‚



Umezoea Kukula mogoka hadi unaogopa kumeza mboga


Ukimkuta dada amevaa miwani anakuwa na dharau sana anasahau kuwa kilichomfanya avae iyo miwani ni ugonjwa
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ


Ata uwe na haraka kiac gani lazima matako uyaache nyuma


Tajiri Au Masikini Wote Tuna Masaa 24⏲️Kila Siku..

Chagua Vizuri Jinsi Ya Kutumia Muda Wako…✍🏼

Na venye mm n bachelor πŸ€”nikifa xai life history ang c itakuwa fupi;”
Marehemu alizaliwa akazurura akafa”πŸ˜‚πŸ˜‚