Mapenzi yanaweza kukupa stress hadi mama ako akikuuliza what is wrong. …… unaeza mjibu Mama we bado mdogo huezi elewa



Demu:babe leo bata wap??
Boy:kwani wewe unataka tukale wap???
Demu:nataka tukale kwa hotel kubwa
Boy:acha ufala leo bata kwani uja waona kwenye banda lao wanakula πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Dame:Babe nko na ball
Boyie:leta tucheze futa atleast tufanye maexercise
Dame:si ivo😊nko nimebemba
Boyie:Nini tena?… Umechoka nikusaidaie…
Dame:NktπŸ˜…acha kujifanya huelewi
Boyie:Bydah nani alikubuyia..??na mbona hukunxhw nikubuyie?… Dats means unancheza…. Wacha tu tuachane peacefuly…
Dame:Aky babe namaanxha nko pregnant….
Boyie:Ulitoa wapiπŸ˜±πŸ™Š…
Dame:Ni yakoπŸ™ˆπŸ™ˆπŸ™ˆπŸ™ˆ
Boyie:πŸ’ƒπŸ‘‹πŸ‘‹πŸ‘‹πŸ‘‹πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘nlitaka ivo coz uliwa unaniringia… RINGA SASA TUONE
Dame:sawa tu….πŸ™ˆπŸ™ŠπŸ™ŠπŸ™ŠπŸ™ˆπŸ™ˆπŸ™ˆπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜’πŸ˜’πŸ˜±πŸ˜±πŸ˜±πŸ˜±πŸ˜±??????
Boyie:Naga nima ndukoragwa na mutwe mwega
Dame:Onawe thii okiomaga


Ushawahi potea njia unajipata kwa boma kwa MTU,
inabidi uombe maji ya kunywa…

Ushawai kuwa single for so long Hadi
unashangaa kwani ribs yako moja ilitumika kupika supu ama Nini🀣


Kuna dem ameniuliza WHERE DID WE FIRST MEET??
Sijui nimkumbushe ile day chali yake aliniomba keja juu mm nilikuwa yule msee nilikuwa nafua hapo nje


Katika maisha yako kuna kupuliza iwake na kupuliza ipoe…
Lkn wengi wetu wanapokuwa wakipuliza ipoe wanajikuta wameiwasha….

Zamani wasichana walipika kama mama zao
lakini saivi wanakunywa kama baba zao