Eti nikifa nikazikwe singida๐Ÿ‘Œ๐Ÿ‘Œ uliacha nauli kwani๐Ÿ˜†๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ



Yesu angejua vile wezi wanafanyiwa mtaanj agedhubutu kuja kama mwizi


If my mother is not happy with
Me being in her house,she must
Move out,I’m in my mothers house,
She must go to her mother’s house
Mongwe Le Mongwe Ga Mmagwe!


Juz kadem nilikatext kakaniuliza nimepata wapi no yake nikakaambia nimepew offer ya namba yake na safcom


Tangu nianze kula miraa 2017 hadi wa leo sijawahi lala,,
inasemekana uwa nakula kama nmelala.

Bak in skull ukiwa Dom….
we Zima stima tulale unaskia wazimu mwngne ukilala class ulkuwa umezima stima

Hii ngozi enye Mungu alitumia kutengenezea magoti nashuku ni same na ile alitumia kutengenezea makende.
Hizi ngozi mbili zinafanana sana…
waaah can’t spot the difference! Men