Hakika umefanyika bubujiko la nafsi yangu na kunifanya kuwa wakipekee kwako also all in all when i’m feel in love i see you my love



Niliambiwa na mwalimu wangu wa kiswahili ya kwamba ukiona mtu na makalio kubwa ujue ni ujinga amebeba hapo soo madem tuwache maringo ukiwa umebeba haaga ,,,,,”hiyo ni ujinga umebeba”.

mtoto aliagizwa hela ya mlinzi na mwalimu akaenda kumweleza baba ake, baba akamjibu kamweleze mwalimu yesu ndio mlinzi mkuu aache wizi……😂😂😆😆😆🤣🤣


Wakikuyu ni wasafi hati wawesi chafuwa meza kwa clap


Ujinga nini?
Ujinga ni pale napotoa 1 million kama mahari!
Wakati aliyetoa bikra! Katulia hukoooo!