Panya watatu walikua wakibishana nani Ni noma zaidi
Panya 1: jamani mimi ni noma Wiki hii nimekula rat rat(sumu ya panya) mara tatu na sijadedi !!!
Panya 2 Wewe unasema nini, mimi nimekula nyama ikiwa
kwa mtego mara 5 nasijawahi dakwa
RAT 3 Mmemaliza? Mie hata sijui mnabishana nini? Mimi hii mimba niliyo nayo ni ya paka !!!
.
.Panya WA 1 na 2 wakazimiaπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
Panya wa 3 huwa hapendi ujinga kabisa
πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚



Kuna mtu huku ndani hananga kazi.. Yeye hushinda kuitisha pics za watu then ako zile za… Wow, nice, cute, sexy. . πŸ˜‚

Wendawazimu walipanda basi la ghorofa wengine juu na wengine chini.
Wakati basi linatembea
waliopanda chini wanawauliza wa juu, huko speed ngapi? maana huku speed 80.wajuu wakajibu huku mpaka sasa hatujui mana hata dreva bado hajaja!
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Unakumbuka pale nursery ukibeba book moja na one bob kwa pocket,,history repeats itself πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚campus life


Cjai ona ugonjwa mbaya kma ujinga aina tiba Tina ni kibao


Siasa ni kama ndoa,
ikuvunjika wengi ulia sana


Eti ooh nataka mwanaume wa kunilinda na ukitongozwa na mlinzi unakataa!?

They say that love is blind bt mbona wasee uwa wanachagua madem wenye wako na sura poa