Uko njiani pekee yako usiku Mara unaona mtu mbele unaharakisha mwendane na yeye mnafika sehemu inayotisha Mara unasikia akisema….”mahali hapa tumefka ndo nliuawa”manze apo ndo utajua hujui๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜



In every man’s life kunakuaga na dem kila mtu huassume mshakulana na hamjawai ๐Ÿ˜Œ
Alafu kunakuaga na dem mshakulana lakini huezi ambia watu mshaikulana ๐Ÿ˜ญ
Alafu kuna dem ukiambia watu mshaikulana hawaamini ๐ŸŒ
Alafu kuna dem mnakulananga lakini nyinyi wote hamuezi ambia watu coz mtastopisha reggae. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Unakumbuka ukianza insha na….
Katika Kijiji kimoja paliondokea mtu mmoja masikini hoehae…

Ona sahii we ndio huyo masikini๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
*What goes around comes around๐Ÿ˜


Hii Nairobi kama hujaact setbooks
Haujajaribu online jobs za global alliance (kwanza hii)๐Ÿ˜‚
Haujaenda mjengo๐Ÿ˜Œ
Haujafanya promotion ya nodules ama simu๐Ÿ˜ฉ๐Ÿ˜ซ

Halafu kuna ile walk ya kiadvatise pizza na kuku ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜‚
My friend hakuna kitu utaniambia kuhusu kuhustle๐Ÿ˜‚

Lakini si mtu akibuy laini ya Airtel anafaa kupewa na jacket ya kuprevent baridi wakati anatafuta network


Form fours are like posting *”stress is over”*๐Ÿ˜‚tuwaambie ukweli ama tuwaache wapumzike๐Ÿ˜‚


Madem wa siku izi wamekuwa kaa karao.mnakutana tao then next week uko ndani๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃif you know you know

Some ladies will be there like..”I have inner beauty” my sister, kwani wewe ni muturaโ˜น

MIMI KAMA SIMU YAKO
Nataka uniheshimu.Sipendi ukiniweka kila saa kwa vibrate mode,alafu usiniweke kwa mfuko wako wa nyuma…ukinyamba wataka nifeel aje? Alafu ukiamka asubuhi plz brush mdomo kabla unitumie…wewe huwaga unanuka mdomo ni vile sitaki kukuambia! Then kuna ile siku uliniweka credit bamba 5 hio siku uliniudhi! Huoni ni aibu hio lakini nikanyamaza tu..Saa zingine we huenda na mimi chooni! Hio ni heshima kweli?