Tusikizane vizuri,,, haikua kupenda kwangu kuishi Kwa nyumba ya mabati, ukikuja kwangu sio lazima ubishe mabati,πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ˜πŸ˜πŸ˜ bisha Tu mlango ntakuskia nanii



Nakumbuka Chemistry paper 1 kulikuwa na hii swali “State 3 characteristics of bromine” Sasa mimi na ujinga yangu nikaandika characteristics za Bro wa mine😁

January imefika wale shamba boy mulikwa ushago mwende Nairobi kufiyeka mboma zatu huko Una enjoy girl friend wako beb Niko busy kwa Office ww

Kwako Kuna bed switch ama unazimanga stima then unatembea hadi kwa bed Kama kipofu


*Siyo Lazima Mpenzi wako Akija Mfanye Mapenzi…Kamtembeze Ata Makaburini Umwonyeshe Utakapo Mzika Siku Atacheza Na Hisia Zako

Dame:beb Plic nbuyie redo ya mbao.

Boy:tumiaga hiyo ya chuma kabla walete ya mbao,


List of names to avoid this festive season
Ukiskia umeitwa ivi usiitike na usijaribu kusmile, ni mtegoo
1. Mkubwa
2. Tajiri yangu
3. Mzito
4. Mtu wangu
5. Chief
6. Chairman
7. Boss yangu
8. Babe
9. Sweet heart
10. Heheheee my lost Fren.
11. Boss.
12. Muuuuutunguyaz.
13. Buuuuda.
14. Niaje mzeiya.


Madem wengi kasi ya n ya kufilter picha wapost kwa status na hawakumbuki lika yao inaelekeakumalisha ulezi

Her:Beb ulisema utanipeleka tour?
Joker smoker: Apana nilisema Twa TwaπŸ˜‚

Unapata Dem amebeba food take away ujue amechukua ugali tatu ya 30bob na mboga ya 10bob🀣🀣🀣