karibu kenya place unabuy maziwa imelala 35 while fresh 20 bob



Hii upuzi ya unauliza dame πŸ˜‚
hasubui kama ame amka anakuambia oliskia wapi kwanini whyπŸ₯΄


Kama nilikuudhi mwaka huu , kumbuka mwakani ni palepale sikufugiπŸ˜‚πŸ˜‚

Mko kwenye sensa mara wakala anauliza mama una g’ombe hapa na mama anaanza kukuangalia wewe


nimekumbuka mitochondrion nikasahau pin ya mpesaπŸ˜²πŸ€£πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ€”πŸ˜


Mapenzi. Xi naguvu ni wamusi wako na mimi pamoja. Na roho yako