Imagine umelala afternoon bcoz the previous night ulikuwa kesha. mara unasika knock kwa mlango, ukienda kufungua unagongwa kidole ya mwisho ya mguu na kitanda, kuturn kidogo unaangukia ndoo za maji yanamwangika, unatereza kwa hayo maji unaangukia tv, na wire ya stima inakupinga shock kwa mgongo. unasimama na uchovu, maumivu, hasira na hasara. kufika kwa mlango kufungua unapatana na jamaa kwa mlango anasema, ” Habari yako? naregister lines za Orange!” utafanya? 😂😂
Related Posts
Hii upuzi ya unauliza dame 😂 hasubui kama ame amka anakuambia oliskia wapi kwanini why🥴 Post Views: 15
Wasee wasee kwenu watu ni wengi hadi ikifika saa ya chakula unaitwa na Register Post Views: 4
MSHINDI kwa damu ya Yesu.kila Aaminiye na kubatizwa ameokoka. Post Views: 0
Aki wallahi lazima 2021 time watu wacheck before tuingie sisi ,Ile dissapointment nimepata 2020 siwezi dhubutu kuingia nayo 2021😏😏😏 Post Continue Reading..
Pesa kidogo tu ukiongea unasema I mean si useme tu unamaanisha tutakuelewa mabaharia Post Views: 4
Maisha ni mlima kupanda na kushuka Post Views: 0
Mtu mmoja amekimbia paka sikio lake ameguza chini Post Views: 2
Juz kadem nilikatext kakaniuliza nimepata wapi no yake nikakaambia nimepew offer ya namba yake na safcom Post Views: 0